Eneo la tukio maandamano makubwa yametokea nchini Marekani katika mji wa St Louis yaliyosababishwa na askari kumpiga risasi kijana mwe...
Wanajeshi 54 wa Nigeria Wahukumiwa Kifo kwa Kushindwa kupambana na Boko Haram.
Mahakama moja ya kijeshi nchini Nigeria imewahukumu kifo askari 54 kwa kukataa kupigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu la Boko Haram...
Watu 3 wauawa katika vita nchini Somalia
Mwanajeshi wa serikali ya Somali .Vita vimezuka katika ya wanajeshi wa somali na wanamgambo wa Alhu Sunna Mapigano kati ya vikosi vya se...
Milipuko Wiliwi Yaua Watu 30 Nchini Nigeria
Waokoaji na wakazi wakikutana katika eneo la tukio la mlipuko wa bomu katika soko katikati ya mji wa Jos Watu wasiopungua 30 wa...
Al Jazeera yaihusisha Kenya na mauaji ya Viongozi wa Kiislamu
Abubakar Shariff Makaburi ni mmoja wa viongozi wa kiisilamu aliyeuawa na watu wasiojulikana mjini Mombasa Shirika la habari la Al Ja...
Mtoto wa Malkia wa Uingereza kwa mara ya kwanza ndani ya ‘White House’ ya Marekani
Familia ya Kifalme ya Prince Willium na mkewe Kate Middleton wako nchini Marekani katika ziara yao ya kwanza ambapo watakua kwa mud...
Alichokisema msichana aliyemtesa mtoto Uganda leo na maamuzi yaliyotolewa na Mahakama
Unamkumbuka yule mfanyakazi wa ndani aliyemtesa mtoto nchini Uganda na kuteka hisia za watu wengi duniani? leo kesi yake imeweza k...
Al Shaabab waua tena watu 36, Mandera County, Kenya
Takriban watu 36 wameuwa kwenye machimbo huko Koromei kwenye kaunti ya Mandera, leo asubuhi na wanamgambo wa kundi la Al-Shabaab. Watu...
Vurugu: Polisi Wapambana na Waandamanaji Hong kong {Picha}
Polisi wakielekea kuwakabili waandamanaji mjiini Hong Kong. Polisi wakimtia nguvuni mmoja wa waandamanaji. Mmoja wa waandamanaji a...
Mtoto Aliyezaliwa na Miguu na Mikono Minne India na Kupewa Jina la "Mungu Mvulana"
Imetokea nchini India baada ya mama mmoja kujifungua mtoto mwenye miguu minne na mikono minne huku akipokelewa na wenyeji kwa furaha kubwa ...
GHOROFA LAANGUKA, WATU KUMI WAPOTEZA MAISHA NCHINI MISRI
Vikosi vya uokoaji vikitafuta Watu walionasa kwenye kifusi cha Jengo Watu kumi wamepoteza maisha baada ya jengo la ghorofa kuanguka mj...
MDOMO WAMPONZA MWANAMKE NCHINI PAKISTAN
Bi Asia akiwa na familia yake Mwanamke mmoja amehukumiwa adhabu ya kifo nchini Pakistan kwa kosa la kufuru, naye amekwisha kukata rufaa kat...
Boko Haram wauwa 100 hivi karibuni
Ripoti kutoka kaskazini-mashariki mwa Nigeria zinaarifu kuwa kundi la wapiganaji Waislamu la Boko Haram, limefanya mashambulio mawili ma...
BREAKING NEWS: WATU 11 WAFARIKI DUNIA BAADA YA KUKANYAGANA
Watu 11 wamefariki katika mkanyagano nchini Zimbabwe baada ya ibada ya kidini kufnayika katika uwanja wa soka. Polisi wanasema kuwa watu ...



