Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akionesha umahiri wake wa kutumia cherahani na kushona nguo za wafanyakazi wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kuvifahamu vitengo mbalimbali vya Ikulu jijini Dar es Salaam Januari 20, 2016
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kushona kwa ustadi
Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akimalizia moja ya nguo za wafanyakazi wa Ikulu.
==> Tazama Video hii Kumshuhudia mh. Rais akishona
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment