Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe
ambaye June 30 alikabidhi rasmi fomu kwenye ofisi za makao makuu ya CCM
kama mmoja wa waliotangaza nia ya kuomba kuteuliwa kugombea urais 2015,
amezipokea RT’s kwenye twitter yake baada ya kuweka picha akiwa na
Zitto Kabwe kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo.
Baada ya kuiweka hii picha aliandika ‘Siasa sio uadui, tumeweza kupingana bila kupigana tuendeleze utamaduni huu adhimu.’
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment