MWALIMU mstaafu, Rashid Mbogo (65) amehukumiwa kifungo cha maisha jela na Mahakama ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi baada ya kupatikana hatia ya kumnajisi mjukuu wake wa kike mwenye umri wa miaka mitano.
Mwalimu Ahukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela Kwa Kumnajisi Mjukuu Wake

Post a Comment
Post a Comment