Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Diamond Platnumz anatamani watu waelewe jinsi anavyompenda mpenzi wake Zari Tlale aka The Bosslady.
11382925_1598911440358636_193720646_n

Wawili hao wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao.
Hitmaker huyo wa ‘Nana’ amepost picha kwenye Instagram inayomuonesha akilibusu tumbo la mpenzi wake huyo na kuandika, “I wish you can understand how Much i Love this Woman… Thanks God for the life have always prayed for.
11745689_10207500677180034_7688809183649670592_n
Diamond na Zari wanatarajia kupata mtoto wao wa kwanza mwezi ujao

Msanii huyo amemaanisha, “Natamani mngeelewa jinsi ninavyompenda huyu mwanamke. Asante Mungu kwa maisha niliyokuwa nikiyaomba siku zote.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
13 Jul 2015

Post a Comment

 
Top