
Watu wenye silaha wamevamia Kituo cha Polisi cha Sitaki shari kilichopo Ukonga jana usiku na kuua watu wanane wakiwemo polisi wanne pamoja na raia wanne na kisha kupora silaha.
Kwa mujibu wa Shuhuda wa Tukio ambae nae pia ni askari amesema kuwa tukio hilo limetokea majira ya Saa saba za Usiku ambapo watu hao walifika kituoni hapo na boda boda na kuanza kugombana baada ya polisi kutaka kujua nini kinaendelea ndipo watu hao walipoanza kurusha risasi.
Picha zanatisha :Picha za Mauji ya Polisi na Raia yaliyofanywa na Majambazi Usiku wa Kuamkia leo Jijini Dar
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment