Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu ametajwa kuwa ndiye aliyechangia kwa kikubwa  ushindi wa tuzo tano za Killi za msanii wa Bongo Fleva,Ali Kiba kutokana na kumpigia debe mara nyingi kupitia akaunti yake ya Instagram.

Akifunguka kupitia 255 ya XXL,Wema alisema kuwa Ali Kiba alimuomba ampigie debe kwenye akaunti yake ya Instagram,kwani hata msanii huyo aliwahi kumpigia debe alipowania tuzo za Watu ndiyo maana alifanya hivyo.

Hata hivyo alipoulizwa mbona hakumpigia debe aliyekuwa mpenzi wake,Diamond Platinum ambaye ni hasimu wa msanii Ali Kiba,alisema kuwa Diamond hakuwahi kumuomba ampigie debe kama angemuomba angefanya hivyo kwani hana tatizo na msanii huyo.


  • ‘’Sina tatizo na Diamond kama angeniomba nimpigie debe Instagram ningefanya hivyo,’alisema Wema.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top