March 21, 2025 11:08:27 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Lile vazi la Faiza Ally KTMA lamfanya Sintah kuropokwa haya kuhusu Faiza:

'Wakati mwingine lazima ujiulize hivi sie binaadam zimo kichwani ama, mtoto mwenye heshima aliyezaliwa na wazazi wake no matter what hawezi kufanya huu ujinga, huyu ndio maana sugu alimpiga chini maana aliona mbali, mtu anawakilisha jimbo anakuwa na demu mcharuko zaidi ya dagaaa katika  chungu? uvaaaji gani huu yarabi but somehow i blame kwa waliotoa kadi maana utapelekaje watu kama hawa katika awards? mnaacha kuwapa watu wa maana na shughuli zao mnawapa watu wanaokuja kutega mingo, maana kama sio kutega mingo hiki ni nini?? anyway Mh Sugu kaa na mzazi mwenzio umwambie maana tangu aachane na wewe naona zimemruka kichwani , hata kama hupo naye ila ana mtoto wako unakubalije mama wa mtoto wako akafanya haya maajabu ya kishetani  bora ajiuze kimya kimya kuliko kama hivi watu wanasema demu wa Sugu mptuuuu kwakweli Faiza unatia aibu  unajaribu so hard lakini wapi?? tatizoooo nyota ipo siku utakunya stand wewe kwa mwenendo huu wa kutaka umaarufu kiulazima
kwani hujawahi kuona watu wakienda sehemu kama zile wanatakiwa wavae nini?? halafu siku hizi wanaume wamejanjaruka hawataki cheap products kajipange upya
ila marafiki wabayaaa na ma snitch sasa mnamuachaje anatoka hivi ama ndio hasikii kupitiliza yaaani mie ndiye ningekuwa but haiwezi kutokea nikawa rafiki yake ningemchapa kwanza its so disgusting, nasty ptuuuuuuu' By Sintah

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
18 Jun 2015

Post a Comment

 
Top