Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Elizabeth Michael ‘Lulu’


Mrembo kutoka Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekuwa akiweka picha zake kwenye mitandao ya kijamii huku akionyesha tumbo lake lenye dalili zote kuwa ana mimba changa yani ni mjamzito sasa kama ni mjamzito nani ndie mmiliki wakati tunasikia taarifa za yeye kuponda wanaume na kuwaogpa kama ukoma.

Kinacho watatiza watu wengi na kuwafanya wasiamini kutokana na yeye kutosema chochote kabisa sasa kusoma haujui hata kuona picha?

Wahenga wanasema lisemwalo lipo kama halipo basi laja angekuwa mwanaume kweli lakin ni wakike lazima atashika mimba hata kama hii si ya kweliiii....

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top