Home
»
general news
» Mama na mtoto wake walizaa na mwanaume mmoja.. Unajua wanachohofu kutokea baadae?
Kitu cha kwanza mama huyu anasema haoni sababu kumchukia mtoto wake kwa kitu ambacho kimetokea zaidi ya miaka miwili iliyopita; “There is no need to hate my daughter for something that happened more than two years ago..“– Mildred Mashego.
Hii imetokea Mpumalanga, South Africa… Mildred na mtoto wake wa kike, Patricia Mashego walijifungua mwezi August 2012, lakini ikawa story kwenye Headlines baada ya kujua kwamba mwanaume aliyewapa ujauzito ni mmoja!!
Vincente Malumane ni mwanaume ambaye aliwapa ujauzito wanawake hao, alikubali kwamba ni kweli anahusika na ujauzito huo lakini hakujua kwamba Mildred na Patriciani mtu na mtoto wake.
Mildred alichukizwa baada ua kuujua ukweli, japo anasema anamchukia Vicente ila hana kinyongo chochote na mtoto wake.. Wanawalea watoto wao pamoja, hofu waliyonayo kwa sasa ni jinsi ambavyo watawaelezea watoto wao watakapokua wakubwa.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Je Umezisoma Hizi?
- Jamaa Aliyejitosa Zoo Aliwe na Simba Laivu Alikuwa Anadai Mwisho wa Dunia Umefika...23 May 20160
Inasikitisha kwakweli, ameokolewa.... na simba walioanza kumla waliuwawa. aliingia kwenye jumba ...Read more ?
- Watumishi HEWA Waziponza Benki.......Benki za Dar es Salaam Zalimwa Barua Kurejesha Mamilioni ya Shilingi23 May 20160
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 21 kwa benki zilizokuwa zikitumika kuwek...Read more ?
- Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Saa Saba Usiku Machinjio Ya Ukonga Mazizi Na Kufukuza Viongozi Wote Wa Machinjio12 Feb 20160
Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku...Read more ?
- Askofu Gwajima, Sheikh Wa Mkoa Dar Wakwama Kumjulia Hali Mufti12 Feb 20160
Jopo la Madaktari wanaomtibu Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Zubeir wamezuia ...Read more ?
- Siku 100 za Rais Magufuli: Hospitali Ya Muhimbili Yang'aa, Mapato Yapaa na Upatikanaji wa Dawa Waongezeka Kwa Asilimi 9611 Feb 20160
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili (MNH) iliyopo jijini Dar es Salaam imesema ndani ya siku 100 z...Read more ?
- Lowassa Atakiwa Kuvisaidia Vyombo Vya Dola Kukabiliana na Tishio La Kundi la al Qaeda Kuingia Nchini10 Feb 20160
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Aboud Mohamed amemtaka Wa...Read more ?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Post a Comment