
Taarifa kutoka Nairobi, Kenya zinasema Jengo la Ghorofa sita lilokuwa kwenye Ujenzi limeanguka huko Roysambu, Jijini Nairobi ambako mpka sasa hakuna ripoti iliyotolewa kuhusu majeruhi wala kifo cha mtu. hizi ni picha kutoka eneo la tukio





Credit Standard Digital Kenya
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment