Mbunge wa kigoma Kaskazini Mh. Zitto Zubery kabwe Leo Alikutana na Wazee wa Jimbo Lake na Kutoa Maamuzi magumu mbele ya wazee hao kama hato gombea tena Ubunge kwenye jimbo hilo alilolitumikia kwa muongo moja (miaka 10) huku wazee wakimbariki achukue maamuzi yanayofaa kulingana na hali ya kisiasa inayoendelea hivi sasa.
Katika page yake ya facebook amepost ujumbe huu kama unavyosomeka hapa chini
"Leo nimekutana na wazee wa jimbo la kigoma kaskazini na wawakilishi wa vijiji vyote 45, nimewaaga rasmi kuwa sitagombea ubunge jimbo hilo"
Aliendelea kupost kwenye page yake kama 
Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi
Post a Comment
Post a Comment