Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mrembo mwenye maskani yake nchini Sauzi Zarina Hassani Zari 'thebosslady' jioni ya leo ameshare na mashabiki wake picha hizi ikimuonyesha anakula raha katika boti moja ya kifahari katika nchi ambayo hakuianisha huku ikionyesha kitumbo chake (ujauzito) ukionekana kuzidi kukua Diamond mungu akijalia ataitwa baba naniliiiiiiiiiiiiiiiiii
Tazama picha hapa chini

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top