Giroud akishangilia baada ya kuifungia goli Arsenal
Arsenal wameendeleza ubabe wao kwa Everton Uwanjani Emirates kwa Leo kuichapa Bao 2-0 katika Mechi ya Ligi Kuu England.
Ushindi huu umewafanya Arsenal wachupe hadi Nafasi ya 3 wakiishusha Man United Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 1 nyuma ya Arsenal.
Bao za Arsenal zilifungwa na Olivier Giroud katika Dakika ya 39 na la pili la Dakika ya 89 kupitia Thomas Rosiky alieingizwa Kipindi cha Pili.
Ligi Kuu England itaendelea Jumanne na Jumatano kwa Timu zote 20 kucheza Mechi.
VIKOSI:
Arsenal: Ospina; Bellerin, Gabriel, Koscielny, Gibbs; Coquelin; Cazorla, Oxlade-Chamberlain, Özil, Sánchez; Giroud
Akiba: Szczesny, Mertesacker, Rosicky, Walcott, Monreal, Chambers, Welbeck.
Everton: Howard; Coleman, Jagielka, Stones, Garbutt; McCarthy, Besic, Barry; Mirallas, Barkley; Lukaku
Akiba: Robles, Gibson, Koné, Naismith, Osman, Lennon, Alcaraz.
REFA: Andrew Marriner

Rosicky na GIroud wakishangilia goli

Msimamo wa ligi kuu EPL:

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment