March 17, 2025 08:33:22 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Thursday 19th March 2015: O2 Recycle has collaborated with designer, Sean Miles, to unveil a unique mobile phone prototype which has been made using the unconventional material of pulped grass clippings from the pitch at Twickenham Stadium ? the home of the England Rugby Team. For more information or a full release: Hope&Glory PR t: +44 (0)20 7566 9748 e: o2@hopeandglorypr.com © Mikael Buck / O2
Teknolojia inatufungulia mapya kila siku.. Nakumbuka simu za kwanza za mkononi zilikuwa kubwa halafu nzito, baadae ikaja fashion ya simu ndogo ndogo, zile kubwa watu wakawa wanaziita ‘mshindi’ ambalo ni jina la sabuni… Sasa hivi tunaona fashion ya simu kubwa inarudi mdogomdogo.
Sean Miles anaingia kwenye historia, anaingia kwenye headlines pia.. yeye kagundua hii simu ambayo imetengenezwa kwa majani kabisa pamoja na mchanganyiko wa vitu vingine vilivyochakaa ama vilivyoharibika.
O2-recycle-grass-phone-designboom03
Dili ambayo alipewa na Kampuni ya O2 ilikuwa Miles afanye ubunifu njia ambayo wataweza kutumia mabaki ya vitu ambavyo vimechakaa na havifai kwa matumizi, katoka na hii ambayo hata waliomuagiza hiyo kazi imewashangaza yani.

Unaambiwa cover ya simu hii ukiiangalia ni kama majani kabisa.
_81927339_grassphone2
Ubunifu huu umefungua ukurasa mpya kwenye Teknolojia, Kampuni ya O2 wanaangalia kama wataweza kuweka nguvu nyingi zaidi ili simu zenye cover hizi zilizotengenezewa majani zitengenezwe nyingi na kuingia kwenye soko la Dunia.

O2-Grass-Phone-31-537x444
Vipi mtu wangu ukikutana na hii simu pale Kariakoo an Mlimani City kuna kitu kitakufanya usiipende labda?
Bonyeza play umcheki Sean Miles akifanya kazi yake sasa kuitengeneza hii simu…

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
28 Mar 2015

Post a Comment

 
Top