Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
pipp
Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku huu akiwa nyumbani kwake.

bongeee
Abdul Bonge enzi za uhai wake
Akizungumza na EATV, mmoja wa wasanii aliye kundi la Tip Top Connection Madee, amesema kuwa bado hajafahamu chanzo cha kifo ila amefariki ghafla usiku huu akiwa nyumbani na msiba upo Manzese Tip Top
RIP Abdu Bonge

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
29 Mar 2015

Post a Comment

 
Top