
Manchester United jioni ya leo wameitandika liverpool kwa mabao mawili kwa moja ilikuwa ni katika dakika ya 14 kiungo mshambuliaji Juan Mata aliifungia timu yake goli mpaka timu hizo zinakwenda mapumziko Mashetani wekundu walikuwa wanaongoza kwa goli moja.
Kipindi cha pili katika dakika ya 59 yule yule Juan Mata alitupia goli la pili kwa tiktaka mulua na kuandikia timu yake goli la pili, liverpool ilijipatia goli la kufuti machozi katika dakika ya 69 likifungwa na Sturridge.
Kiungo wa Liverpool Gerarrd ameweka rekodi baada ya kucheza sekunde 38 na kuonyeshwa kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa Man Hererra katika dakika ya 45 kipindi cha pili sekunde 39 baada ya kuingia akitokea benchi.
Fulltime Liverpool 1 vs 2 Man United
Fulltime Liverpool 1 vs 2 Man United
Tazama hapa chini picha zaidi za mchezo huo


Goli la kwanza

Goli la pili
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment