Siku ya jana msanii Ommy Dimpoz alitupia picha hiyo hapo juu kwenye ukursa wake kwenye mtandao wa Instagram, na kuandika kipande cha maneno kutoka kwenye moja ya nyimbo za Yamoto Band.
“Inzi kufia kwenye kidonda sio ufala ila kapenda......”
Haikuishia hapo, muda kidogo akatupia kipande cha video akiwa na Wema kwenye bajaji huku Wema akim-BLESS ma-KISS yakutosha…kama unavyoona kwenye picha hapo juu.
Sasa jamani hivi hiyo KUSHUTI hadi kwenye bajajiiii?!!!
Jamani tuwatakie tu kila la kheri kwenye PROJECT yao.
Mzee wa Ubuyu Bongo Movies
Post a Comment
Post a Comment