![]() |
| Amini Akilia jukwaani na Mkewe |
Jana Jumba la Vipaji Tanzania THT walisherehekea Miaka Kumi toka Kuanzishwa Kwake Pale Escape 1, Mambo yalikuwa matamu sana kwani wasanii wote walio.....
pitia katika Jumba Hilo la Vipaji walitoa Burudani safi kabisa ya live na kufanikiwa kuwagonga nyoyo mashabiki waliofurika kushuhudia Tukio Hilo...Mpiga picha wa Udaku Specially Eli Ulomi Aliweza Kupata Matukio Mbali Mbali Likiwemo la Amini na Mkewe Kulia Kwa Furaha Jukwaani , Amini na Mkewe wote ni zao la THT , walikutana Hapo na Mwisho ikazaliwa Ndoa..

Bonyeza Hapa kutazama picha zaidi
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro

Post a Comment
Post a Comment