
kuptia ukurasa wake wa facebook mwanamuziki Diamond leo amepost picha akiwa ametua mjini songea mkoani Ruvuma kwenye maadhimisho ya miaka 38 tangu jama cha mapinduzi kuanzishwa. kwenye msafara huo ameambatana na mpenzi wake mrembo kutoka uganda zari 'thebosslady' na kuandika maneno haya
"SONGEA!!!! SONGEA!!! SONGEA!!! niko mjini kwenu hapa Leo!.. tukutane uwanja wa #Majimaji... Mchana huu, kwenye Hafla ya CCM... Tena, Kiinglio ni Bureeee "
Post a Comment
Post a Comment