Mrembo na mwigizaji wa filamu, Elizabeth Michale ‘Lulu’ amewatolea uvivu baadhi ya followers wake kwenye mtandao wa Instagram ambao huwa wana DIS kila anachokiweka.
Akionyesha hali ya kutokujali, mwanadada huyo alibandika picha hiyo hapo juu mtandaoni na kundika;
“Lego get em….. Nikuridhishe Kwani we unaniridhisha!???Am Soleeee...!”
Ujumbe ambao uliugwa mkono na followers wengi na kuwa ‘tag’baadhi ya wale ambao kazi yako wao ni kumponda tu bidada huyu.
Nadhani ujumbe umefika!!!.. Ila picha hii Mh!!
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment