March 17, 2025 10:06:32 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
SAMSUNG
Ligi Kuu Tanzania Bara imeendelea leo, Timu ya Yanga SC ilikuwa kwenye dimba la Mkwakwani Tanga ambapo wanajangwani hao walikuwa wakichuana na wenyeji wa Tanga, Coastal Union mechi ambayo imeisha muda mfupi uliopita.
Katika mechi hiyo dakika 90 zilikamilika pamoja na zile  tatu za nyongeza kwa Yanga kushinda goli 1-0 dhidi ya Coastal Union.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
04 Feb 2015

Post a Comment

 
Top