March 19, 2025 10:51:48 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Taswira taraja la Stesheni Kigoma likiwa limeharibika vibaya.

Jana Februali14 kuanzia majira ya saa1 za usiku mpk saa4 za usiku maeneo ya Kigoma Mjini ilinyesha mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali bila kusahau Radi zilizopiga kwa muda wote ambapo mvua ilikuwa inanyesha,kama kawaida ya Tanesco mara panapokuwa na dalili za kunyesha mvua zenye hali ya hatarishi maranyingi umeme huzimwa na ndivyo ilivyokuwa jana katika maeneo mengi ya mji wa Kigoma Mjini,
Picha ni jengo la NHC lililopo Kigoma Mjini likiwa limenusurika kuharibiwa na mvua hiyo.
 
''katika maeneo mengi ya mjini kumekuwa na uhalibifu mkubwa wa miundombinu ya barabara na makazi ya watu,nyumba kuezuliwa paa,kuta za nyumba kubomoka,madaraja kuharibiwa na vifaa vya umeme kupigwa na radi majumbani:-kama vile Tv,Radio n.k.,mwandishi wa kigoma24hours alifanikiwa kupata picha zinavyoenyesha hali halisi ilivyokuwa mara baada ya mvua kunyesha'',
picha hapo ni daraja lililopo eneo la sheli ya GBP iliyopo stesheni barabara ya post ukiwa unaelekea kibirizi likiwa limeharibiwa vibaya


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
15 Feb 2015

Post a Comment

 
Top