Mchezo wa ligi kuu soka nchini Uingereza ulichezwa jioni ya leo kati ya Manchester United na Southampton umemalizika kwa timu ya mashetani wekundu kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila goli lililofungwa dakika 69 kipindi cha pili na Tadic.
Southampton imechupa mpaka nafasi ya tatu kwa kufikisha ponti 39 nyuma ya Man City.





Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment