Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

van der pruijm 

 Kocha Van Der Pruijm akiwa na Shaffih Dauda


Kocha  Hans Van Der Pruijm aliyewahi kuinoa timu ya yanga miaka ya nyuman amerudi tena yanga, siku ya jana alitua kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa jijini Dar es salaam amesema amerudi tena kwenye timu yake ya zamani kuendeleza pale alipoishia,

‘Falsafa yangu ipo pale pale ya kucheza soka la kushambulia, kwasababu naamini ili ushinde mchezo ni lazima ufunge mabao ya kutosha’.

Kocha huyo amesema bado hajasaini mkataba ila ana matumaini makubwa atamalizana na wakurugenzi wa klabu pale watakapokutana,
Van Pruijm anakuja kuziba pengo la kocha aliyetimuliwa Mbrazil Marcio Maximo 


van der pruijm 

 Credit shaffih dauda

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
16 Dec 2014

Post a Comment

 
Top