Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
KWA mara nyingine tena, kesi inayomkabili kiongozi wa Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda leo imeendelea kupigwa kalenda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro.
Mbali na kundi la wafuasi wa Sheikh Ponda kutoka mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro waliojazana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mkoa wa Morogoro leo asubuhi kusikiliza kesi ya uchochezi inayomkabili kiongozi wao huyo wakiwa na matumani kuwa huenda Sheikh wao angepatiwa dhamana na kumpokea kishujaa yamekwama tena baada ya taarifa hizo.
Kesi hiyo imepigwa kalenda mpaka Januari 5, mwakani itakapotajwa tena


Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top