March 28, 2025 09:59:46 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

manji


Mtangazaji wa Kipindi cha michezo kutoka Clouds Fm Shaffih Dauda kupitia mtandao wake wa shaffihdauda.com ameripoti kuhusu kupotea kwa zaidi ya shilingi bilioni mbili za ndani ya klabu ya YANGA zimetafunwa na wajanja wasiojulikana mpaka sasa,Inasemekana ubadhirifu huo umefanyika na baadhi ya wafanyakazi waliomaliza muda wao hivi karibuni,Baadhi ya majina ya wafanyakazi wa zamani wakiongozwa na aliyekuwa katibu mkuu wa klabu hiyo bwana Beno Njovu jana walipelekwa kituo cha polisi cha Central kuhojiwa kutokana na ubadhirifu huo.Taarifa kutoka chanzo cha kuaminika ndani ya klabu hiyo kimesema zaidi ya bilioni mbili zimepotea katika mazingira ya kutatanisha.
Endelea kufuatilia mtandao huu kwa taarifa zaidi


Credi shaffihdauda

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
24 Dec 2014

Post a Comment

 
Top