March 22, 2025 11:46:19 PM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
diamond platnumz and zari the bos lady
Siku ya Juzi baada ya picha Diamond Platnumz kuvuja akiwa ndani ya lift akila denda na Zari The bos Lady mashabiki zake kutoka kenya wamemjia juu Msanii huyo na kumuuliza kwa nini amuache Wema Sepetu  Hizi ni baadhi ya cooment kutoka kwenye Facebbok yake Msanii Diamond


Mary Mwaura: isnt true??? ati diamond dump wema sepetu to this ugadan chick...oh my GOD!!!! we are finish us ladys! please diamond dont dump wema..she left prezo 4 u...lol

Lovelyn Wa Kinyash: Diamond kwani una madame wangapi

Khadija Mustafa: now who said dat evry man n woman together r dating!!???they cud jst b gud freinds or workmates!!ppo shud jst stop being so literal....n insults potrays immaturity!!riziki ya mtu ni ya mtu...huwezi iziba labda utaichelewesha tu!!

Malhotra Amrous: hahaha ofcause......that isnt all about how men should treat their ladiess itsss fur most too complicated than you can think of......!!

Omar Wonti: Dunia imekwisha!! Mtu anasifiwa kwa kufanya uzinifu na wanawake tofauti tofauti. Eeh Mungu tuepushe na balaa hili!! Mama mtu nae anafurahia tu uzinifu wa mwanae. Tukumbuke siku ya kukutana na Mola wetu!!

Esther Tamara: Matope Some of you here are just hush n very ridiculously jealous I see no problem with this artist flonting with this pretty lady....its just coz its not u in his shoes guys let's up left our fellow brother as Tanzania's n stop this illiterate behavior big ups to u diamond n keep hurting the haters with ur event up dates #wcm#

Margaret Awori: thanx @Esther tamara some of them r here just making noise if given a chance to just have lunch with her they may not even manage to foot the bills.

Mariam Nzazi: evry thng happenz fo a reason hv u seen wema complaining

Malhotra Amrous: all she said was that she has learnt how further a woman can be hurt or affected by love....the so we call true love from with in!!

Caren Vibes: Av salute wema Thts how sober people act she's just mature ....I love that silence wema...japo mi si shabiki wako lakini umedbihirisha ukomavu



Acha utamuu eeendeeeeleeee 
UNGANA NASI KATIKA FACEBOOK

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Dec 2014

Post a Comment

 
Top