Maziko ya mwili wa marehemu Aisha Madinda yakifanyika katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jioni hii.
Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Aisha Madinda kuelekea makaburini.
HATIMAYE mwili wa aliyekuwa mwimbaji na mnenguaji wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda umezikwa jana jioni katika makaburi ya Kibada, Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Mamia ya wakazi wa Jiji la Dar wamejitokeza na kuhudhuria maziko ya msanii huyo aliyefariki dunia juzi.
Mungu ailaze roho ya marehemu AISHA MADINDA mahali pema peponi. AMEN.
Picha GPL
UNGANA NASI KATIKA FACEBOOK
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment