March 22, 2025 04:03:07 AM Menu
 

Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This

Kenya kila siku kuna mambo na sintaacha kukuletea story zao kali kutoka huko mara ninapo ziona, hii ni nyingine jinsi wanavyoshangalia mpira wakiwa uwanjani, Tumezoea kuona hapa kwetu Bongo tukishangilia tunaimba nyimbo za kijeli na kufanya vichekesho vya kawaida kabisa lakin kenya imepitiliza huwa wanavua mpaka nguo kabisa kukojoa hadharani kabisa bado kuna wale wengine kupigana mabusu hadharani na wengine kufanya kama tendo la ndoa hadharani ila bila ya kuonyesha nyeti zao

Hizi ni baadhi ya picha katika moja ya mechi ambazo zinachezwa huko nchini kenya baada ya kushida huwa inakuwa hizi enjoy








UNGANA NASI KATIKA FACEBOOK

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
20 Dec 2014

Post a Comment

 
Top