IMEGUNDULIKA kuwa uhusiano wa staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda ni kazi bure kwani uwezekano wa kufunga ndoa kati yao haupo kutokana na kupishana imani.Ishu hiyo imejidhihirisha juzikati nyumbani kwa wawili hao Mwananyamala-Manjunju jijini Dar, baada ya paparazi wetu kuwaibukia na kutaka kujua malengo yao zaidi kama wana mpango wa kuoana au la, msikie kwanza Nuh:
Staa wa Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, akiwa na mpenziwe Nuh Mziwanda.
“Mimi ninampenda Shilole kwa asilimia 100, ila siko tayari kubadili dini kwa ajili yake maana kwetu ni wakristo na hapa naongea mama yangu ni mzee wa kanisa hivyo Shilole naamini anaweza kubadili maana mimi tayari nimeshafanya mengi sana juu yake.”
href="http://api.ning.com/files/*SUYvb1OXSu6g*9GLeONLVJwYRVstR6RlZIZ4uiF4jJZM3J3lc25BlTqfnJhKi6Og7U12jp3O4eaPFoBLhvVrexIDozaVLjz/shilo.png" style="background: transparent; border-bottom-style: none; border-left-width: 0px; border-right-width: 0px; border-top-width: 0px; color: #ff3b20; margin: 0px; outline: 0px; padding: 0px; text-decoration: none; vertical-align: baseline;" target="_self">

Zuwena Mohamed ‘Shilole’, na mpenziwe Nuh Mziwanda wakipozi.
Bonyeza hapa
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment