Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
STAA wa sinema za Kibongo, Aisha Bui amefunguka kuwa hivi karibuni aliangusha timbwili la kufa mtu kudai fedha zake za filamu aliyocheza kwa sababu fedha aliyotumia kuandaa filamu hiyo hakuhongwa na mwanaume.
Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akiwa katika ofisi za kusambazia filamu za Yuneda, Mbagala jijini Dar.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Aisha  ambaye alianzisha timbwili katika ofisi za kusambazia filamu za Yuneda, Mbagala jijini Dar, alisema kuwa aliumia kuona anazungushwa kuhusu malipo wakati yeye hutafuta chapaa kwa jasho lake mwenyewe tofauti na wasanii wengine ambao fedha zao ni za kupewa na wadau. 


Staa wa sinema za Kibongo, Aisha Bui akionekana kuwa ni mwenye gadhabu

“Unajua naumia sana hela yangu siyo kwamba nilihongwa na wanaume bali nilitafuta kwa jasho langu hivyo mtu anapokuwa na lengo la kunidhulumu naumia mno na ninashikwa na hasira  sana,” alisema Aisha Bui.

Bonyeza hapa

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro
03 Nov 2014

Post a Comment

 
Top