
Kimbunga Mchawi alikikieleza kipindi cha The Jump off cha times kuwa bada ya kukorifishana na Ney wa Mitego kwamuda sasa imekuwa hata salam hawapeani licha ya kukutana mara kwa mara katika studio moja jijin Dar Es Salaam
"nakutana nae mara kibao kwa sababu producer wke ndio producer wangu mimi Mr T touches pamoja na Jala man ambao ndio familia yangu mimi kwa hyo anakujaga pale yani mikausho mikali kakausha nami nimekausha yani" alisema Kimbunga alipoulizwa na mtangazaji wa kipindi hiko Jabir Saleh
Aidha Kimbunga alimuambia mtangazaji wa kipindi hicho kuwa kamwe hatokuja kufanya kazi na msanii Ney wa Mitego kwa sababu hana uwezo ambao anaweza kujilinganisha nae
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment