Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This




Jide amesema "kwa sasa hakuna Nyumbani Lounge ila patakuwa panaitwa MOG Na show zake na The Band zitakuwepo kama kawaida, Machozi Band kwa sasa itajulikana kama Lady Jaydee and the Band tu"

Jide pia ameniambia kuwa "Tumeondoa kulia lia so mimi sio machozi tena, itabaki Komando na anakonda"

Lady jay Dee ameniambia kuwa November mwishoni atatoa wimbo alioupa jina "Forever" na kashirikishwa mdogo wake Dabo ambaye ni msanii we reggae hapa Tanzania. Wimbo umefanyika Combination Sounds kwa Man Water.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top