MWANAMITINDO na mtangazaji kiwango Bongo, Jokate
Mwegelo amefunguka kuwa sababu kubwa inayomfanya awe karibu zaidi na
wanaume ni marafiki zake wa kike kuwa nje ya nchi.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Jokate alisema amekuwa akipata
malalamiko kutoka kwa watu wengi kuwa kampani yake kubwa ni wanaume hadi
wengine kumuona ni malaya wakati si kweli.
“Watu wengi wanasema mimi malaya kwa sababu ya ukaribu wangu na
wanaume lakini ukweli ni kwamba kampani yangu ya kike kubwa ipo nje ya
nchi, sina jinsi,” alisema Jokate.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment