Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba amesema shirikisho lake lipo kwenye mchakato wa kuandaa tuzo kubwa za filamu Tanzania.
IMG_5920
Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa utoaji wa tuzo za kifamilia za H.Baba, katika ukumbi wa Giraffe Ocean View, Mwakifwamba alisema tuzo hizo zitazolewa kila mwaka.
“Tuzo zipo na sisi kama TAFF Shirikisho la filamu Tanzania tunaandaa tuzo kubwa kabisa za filamu katika nchi ambazo zitakuwa zinatolewa na TAFF na ni tuzo za heshima. Tunaweza sema ni Oscar film Award ya Tanzania. TAFF ndo itakuwa inatoa na tupo kwenye mchakato soon tutawatangazia na lini hizo tuzo tutazitoa. Tumejipanga vizuri kutoa tuzo za heshima,” alisema Mwakifwamba.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top