Star wa filamu nchini Jackline Wolper amesema kuwa kwasasa yupo tayari kuolewa baada ya kupitia mambo mengi zikiwemo starehe za ujana ambazo wengi wanaokuwa kwenye ndoa huzikimbilia na kuvunja ndoa zao kwa kuwa hawakuzifanya kipindi wapo nje ya ndoa.
"Naamini kabisa huu sasa ni muda muafaka kwangu, niko tayari kabisa kuwa mke nimepitia vitu vingi ambavyo mara nyingi wengi wao huwa wanakimbilia kwenye ndoa wakiwa bado hawajavimaliza halafu mwisho wa siku wanazishindwa, mimi nishamaliza vyote" alisema Wolper akizungumza na Globalpublishers pasipo kufafanua kama tayari ameshampata mchumba au la.
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro







Post a Comment
Post a Comment