Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates
![]() |
Picha moja wapo ni hiyo ambapo mtoto wa vitoto alikuja siku hiyo hiyo na akapiga picha na Gardner, mbele ya gari hiyo hiyo mnayodanganya watu kuwa mmemkuta nayo na mahala ni hapo hapo Nyumbani Lounge, ,,,,, na picha nyingine ni hizo nilizowahi kuzi post mimi mwenyewe mwezi february leo zinanihukumu endeleeni kudanganya jamii
Na hizo ni chat alizoniandikia huyo mtoto wa vitoto ambae ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kumuona na sijawahi kumuona tena. . Zaidi ya kuongea nae twitter ,,, sisemi kama mimi malaika lakini
Ukweli huwa hauchanganywi na uongo
Kwa hili mmenidhalilisha sana
Kama nia yenu jamii inione mwanamke nisiefaa na ninaependa dogodogo Basi Mungu atawaonyesha ukuu wake.
|
Post a Comment
Post a Comment