GARI LATEKETEA KWA MOTO MKOANI MOROGORO A+ A- Print Email Gari dogo likiteketea kwa moto leo maeneo ya Msamvu mkoani Morogoro. Gari la zimamoto likiwa limefika na kuanza kazi ya kuuizima moto huo. Zoezi la uzimaji wa moto huo likiendelea. Wananchi wakishuhudia janga la moto lililotokea. Bonyeza Hapa Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment