Jeshi la Nigeria limesema kuwa
limewaua wanachama 53 wa kundi la Boko haram kufuatia shambulizi la
wapiganaji hao katika mji wa kazkazini wa Damboa .
Limesema kuwa wanajeshi watano waliuawa katika vita hivyo vilivyoanza usiku wa siku ya ijumaa.Wapinagaji hao waliojihami kwa silaha kali walikuwa wamelenga kambi moja ya kijeshi.
Kijiji cha Konduga kazkazini mashariki pia kinadaiwa kushambuliwa siku ya ijumaa.
Ripoti zinaarifu kwamba takriban watu watano wameuawa katika misururu ya mashambulizi ya kila siku.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment