Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
 Staa wa sinema za Kibongo, Salma Salim ‘Sandra’.
CHUKUA tano! Staa sinema za Kibongo, Salma Salim ‘Sandra’ amesema kuwa kutoka moyoni mwake anamkubali msanii mwenzake, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ baaada ya kupewa nafasi ya Ukatibu Kata ya Bwawani, Kinondoni jijini Dar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akipiga stori mbili tatu  na mwandishi wa gazeti hili, Sandra alisema Steve Nyerere ni mtu ambaye anaweza kuwa kiongozi mahiri kwenye sekta mbalimbali ndiyo maana hata katika nafasi ya Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie ameleta maendeleo.


Salma Salim ‘Sandra’ akiwa na Steve Nyerere.
“Uongozi wa Steve ulianza kuonekana siku nyingi ndiyo maana wana-Bongo Movie tukamchagua na wakazi wa Bwawani nao wamempa ukamanda,” alisema.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top