Sarafu ya Shilingi Mia Tano ambayo Benki Kuu ya Tanzania inatarajia
kuitoa hivi karibuni.
Noti ya Mia Tano maarufu kama 'Jelo' itaendelea kutumika,
ila itaondolewa taratibu katika mzunguko, kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Huduma
za Kibenki na Sarafu wa BoT, Bw Emmanuel Boaz, aliyeiambia Globu ya Jamii
kwenye banda la Benki Kuu katika Maonesho ya SabaSaba (Julai 07,2014) jijini Dar es salaam.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment