Kifupi ni
kwamba, kama mwanamke atataka kubeba ujauzito ni lazima akubali kuingiliwa,
Vivyo hivyo kama mwanaume anataka kumbebesha mwenza wake ujauzito ni
lazima ahakikishe kuwa amemwiligilia mke.
Hata hivyo,
licha ya ukweli wa kuwa ili ujauzito upatikane ni lazima kuwe na kufanya
mapenzi, kumekuwa na mkanganyiko sana juu ya tendo hili la kufanya mapenzi
pindi inapotokea mwanamke ameshashika ujauzito.
Je, ni
sahihi kufanya mapenzi wakati mwanamke wako ni mjamzito?
Je, ni hadi
muda gani kabla ya kujifungua, ambapo mwanamke mjamzito anaweza kuwa
anaingiliwa kimwili na mwenza wake?
Kwa maswali
haya na mengine kadhaa, hebu twende pamoja mdogo mdogo kama ifuatavyo:-
(1). JE, NI SAHIHI KUFANYA MAPENZI IKIWA MWANAMKE WAKO NI MJAMZITO?
Ndio, hakuna
tatizo lolote kwa mwanamke kuendelea kufurahia mapenzi na mumewe au mpenzi wake
wakati anapokuwa mjamzito.
Wataalamu
wanaeleza kuwa, ikiwa ujauzito ulioubeba haukupi shida yoyote ile na unajisikia
uko poa, basi hakuna hatari yoyote ile ikiwa utataka kufanya.
Tatizo pekee
ambalo huwa linawakumba wengi wa wanawake wakiwa wajawazito ni kuwa, huwa
wanapoteza hamu ya tendo lenyewe wanapokuwa katika hali hii, au kushindwa
kumudu kutokana na kujisikia uchovu muda mwingi.
Ingawa pia
wapo wanawake ambao wakiwa katika hali hii ndio kwanza, wanakuwa wanajisikia
kukereketwa huko kwenye ki**i kupita maelezo, na wanatamani muda wote wafanye
mapenzi.
Wapo baadhi
ya wanawake ambao wanakuwa wako normal kimwili, lakini kisaikolojia wanakuwa na
ile hofu ya kuwa kufanya kunaweza kuwaharibia mimba zao, fikra ambazo huwatoa
kabisa katika mstari wa kufurahia tendo hili.
Kwa hiyo,
ikiwa mwili wako uko poa, na madaktari wamekwambia kiumbe kinakua bila shaka,
na unaweza kwenda kazini, huna haja ya kujibania utamu wa mumeo au kumbania
mumeo.
(2). JE, KUFANYA WAKATI WA UJAUZITO KUNAWEZA KUSABABISHA UJAUZITO KUHARIBIKA?
Hili pia ni
miongoni mwa maswali na hali ambazo zimekuwa zikiwachanganya watu wengi, waume
kwa wanawake.
Ila ukweli
ni kwamba, kufanya hakuhusiani na kuharibika kwa mimba au kujifungua kabla ya
wakati muafaka.
Kwa kawaida,
kuharibika kwa mimba hutokana na sababu zingine tofauti kabisa, ikiwa ni pamoja
na kizazi cha mwanamke kuwa na matatizo hasa katika kuhimili ukuaji wa kiumbe
tumboni na sababu zingine za kimazingira.
Wala sio kwa
sababu ya kitu ambacho unakifanya au hukifanyi.
(3). JE,
KUFANYA WAKATI WA UJAUZITO KUNAHARIBU AU KUMDHURU MTOTO?
Kiumbe
kilicho tumboni wakati wa ujauzito huwa kinakingwa na ute maalum unaojulikana
kitaalamu kwa jina la "amniotic fluid" ndani ya mji wa uzazi, pamoja
na kuta za mji wenyewe wa uzazi.
Hakuna namna
ambavyo muhogo unaweza kupita na kufika mahali mtoto anapokuwa anakua huko
ndani, au zile mbegu kuwa zitapita moja kwa moja na kwenda kumdhuru mtoto.
Kumekuwa na
ule msemo wa kuwa kufanya wakati wa ujauzito ni kulea mimba, watu wakiamini
kuwa mbegu huwa zinakwenda moja kwa moja kwenye kiumbe.
DHANA HII NI POTOFU:- Kama kilivyo chakula cha kawaida mtu anapokula, ndivyo ambavyo mbegu
nazo huwa hivyo.
Kila kitu
kwanza lazima kiingie katika mfumo wa kawaida wa usafirishaji wa virutubisho
vilivyo sahihi kuelekea kwenye kiumbe husika.
Hii
ikimaanisha kuwa mbegu nazo huingia katika mfumo huo huo, huchujwa na kile
kinachoonekana kuwa ni kirutubisho kitasafirishwa kwenda kulea kiumbe, ilhali
yale makapi lazima yatatoka.
Tofauti
pekee hapa ni kuwa, "mbegu za kiume zina protini
nyingi", hii ikimaanisha kuwa sehemu kubwa ya kile kinachomwagwa kwenye
uke wa mjamzito, kina nafasi ya kutumika kwa ajili ya kuongeza rutuba kwa
kiumbe kinachokuaa ndani ya tumbo.
Na nyingine
zinaweza kutoka tu zenyewe bila matatizo yo yote.
(4). NI
MIKAO IPI (STAILI) AMBAYO NI MIZURI ZAIDI KUITUMIA KUFANYA WAKATI WA UJAUZITO?
Hakuna mkao
maalum. Ujauzito sio ulemavu kwamba mnalazimika kujipanga upya namna ya
kuridhishana, wala sio ugonjwa pia.
Ikiwa mwanamke unajihisi uko fresh kuendelea kutumia staili ya mwanzo ambayo mlikuwa mnaitumia na unafikishwa na mwenzio, huku huyo mwenzio naye akiwa yuko ok kuitumia staili hiyo na anaimudu hata unapokuwa na tumbo lako, hakuna shida
Jichumishe
mboga, jifanye mbuzi ulogoma kwenda, jifanye namna yoyote ile unayoona uko poa,
na mambo yatakuwa vizuri.
(5). VIPI
KUHUSU KITU ULE MTANDAO WETU NA OR*L S*X? (CHUMVI)
Or*l s*x ni
salama kabisa wakati wa ujauzito. Hata hivyo, ni muhimu kuepuka hewa kuingia
ndani ya uke wako wakati ukiwa katika hali hii.
Wapo wale
watu watundu ambao hugeuza uke kama pulizo na kujitia umahiri wa kutaka
kulijaza hewa wakati wa kupeana raha.
Katika
mazingira ya kawaida, ikiwa mnafurahia hili, hakuna tatizo, ila wakati wa
ujauzito, hii ni hatari kwani inaweza kuleta madhara katika mishipa fulani
ndani ya uke, ambayo iko na uhusiano na mishipa ya kuelekea kwenye mji wa
uzazi.
Kuhusu ule
mtandao wa vijana (Tigo), ambao kwa kawaida hauruhusiwi kutumika, hakuna
wakati unaokuwa mbaya zaidi kuutumia kama wakati huu wa ujauzito.
Katika
wakati huu, uke wa mwanamke mara nyingi unakuwa sensitive zaidi ya wakati akiwa
hana ujauzito, na kuendekeza kuf**ana, kunaongeza hatari ya bakteria kuhamia
kwenye uke na kusababisha magonjwa ambayo yatadhuru kiumbe kilichobebwa ndani.
(6). KUNA
UMUHIMU WA KUTUMIA KONDOMU?
Kama
nilivyodokeza hapo awali, wakati wa ujauzito uchi wa mwanamke unakuwa sensitive
zaidi kwa magonjwa.
Unaweza tu
kuguswa na mwenzako ambaye hakuwa amenawa mikono uzuri na ikakusababishia
tatizo fulani, hivyo basi, inashauriwa kutumia kondomu ikiwa mwenza wako
aliwahi au ana maradhi ya maambukizi uko kwenye
mahusiano na zaidi ya mtu mmoja umeamua
kungonoka na king'asti kipya wakati wa ujauzito.
(7). JE,
KUKOJOA AU KU-SQUI*T MARA KWA MARA KUNAWEZA HARIBU MIMBA?
Na wala
kufanyana hakuwezi kuathiri kwa namna yoyote ile muda wako wa kujifungua
(kuuchelewesha au kuuwahisha)
(8). JE, NI
WAKATI GANI MWANAMKE MJAMZITO ANATAKIWA KUACHA KUFANYA MAPENZI?
Ijapokuwa
wapo wanawake wengi ambao wanaweza kabisa kuendelea kufurahia kufanywa hadi
siku wanakwenda kujifungua , kuna baadhi ya nyakati mshauri wako wa afya
anaweza kukushauri kuacha ngono kutokana na moja au yote kati ya yafuatayo umekuwa na
tatizo la kujifungua kabla ya muda muafaka kabla ya ujauzito ulio nao umetokewa na
tatizo la kutokwa na damu kwenye uke umekuwa
ukitokwa na ute fulani ambao wataalamu wanauita kwa jina la "amniotic
fluid"umekuwa na
tatizo la kwenye mlango wa uzazi, ambalo kitaalamu linajulikana kama cervical
incompetence kondo la
nyuma limesambaa na kuziba kabisa mlango wa uzazi na kuanza kujitokeza kwa nje
(placenta previa).
(9). JE,
KUNA TATIZO LOLOTE IKIWA HUHITAJI KUFANYA?
Hapana, na
hii ni hali ya kawaida sana kwa baadhi ya wanawake wanapokuwa wajawazito, ama
kutokana na hofu inayokuwa vichwani mwao kuwa atapata madhara kwa kufanya
hivyo, au kutokana tu na aina ya homoni zinazozalishwa mwilini wakati huo.
Kuna mengi
mnaweza kufanya bila kuhusisha maingiliano ya kimwili na ambayo yanaweza
kumfanya mwanamke kuridhika anapokuwa katika hali hiyo.
Iwe kwa njia
ya upasuaji au kwa njia ya kawaida, inaeleweka wazi kuwa baada ya kujifungua,
mwanamke anakuwa na hali fulani ya mwili kuchoka, hali ambayo ni ya kawaida.
Ingawa wapo
ambao wanaweza kujihisi wanamudu kushiriki tendo la ndoa kabla, lakini
wataalamu wanashauri kuwa wakati mzuri wa kurejea kufanyana na mwenzio baada ya
kujifungua, inakuwa ni baada ya kupita wiki sita.
SHUKRANI
SANA:-manyandahealthy@gmail.com
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WHATSAPP 0712-483 331
kama huja like ukurasa wetu wa facebook fanya hivi sasa ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment