DAVID
Luiz amekamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya Chelsea na kujiunga na
Paris St Germain ambapo amesaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao
wa Ufaransa.
Luiz
- aliyeanza katika kikosi cha kwanza cha Selecao kwenye mechi ya
ufunguzi wa kombe la dunia na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Croatia
anaondoka Stamford Bridge kwa dau nono la paundi milioni 50million.
Miamba hiyo ya Ufaransa imetangaza katika mtandao wa klabu ikisema: 'Paris Saint-Germain tuna furaha kutangaza kuwa uhamisho wa mcheza wa kimatifa wa Brazil, David Luiz kutoka Chelsea FC,umekamilika kwa kusaini mkataba wa miaka mitano',

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment