Msanii
mkubwa wa filamu Tanzania hatimaye aeleza kwa kifupi story ya zena na
betina ni story ya kijamii inayohusu maisha ya dada zetu wanavyo fanyiwa
Tanzania na nje ya Tanzania kwa tamaa na kupata mateso makubwa
inasikitisha sana kwa kuwa dada zetu wanakuwa wanahaingaika sana ili
wapate maisha lakini mwisho wake inakuwa ni manyanyaso na mateso.
Post a Comment
Post a Comment