Tanzania Entertainment News,Politics News ,Celebrity Gossip and Live Updates
Home
»
Picha
»
Udaku
» JAMANI DADA ZETU HUU NI ULIMBUKENI AU NDIO MAISHA YA KISASA?MTAZAME DEMU WA MSANII YOUNG KILLER AKIWA AMEJIFUNIKA KWA PESA HUKU KIFUA CHAKE KIKIONEKANA
Picha
hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya
Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa
juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja ikiwa wazi.
Pengine
ni furaha ya pesa imesababisha mpigaji picha na mpigwaji kutokuona hiyo
sehemu, pia imeleta mtazamo tofauti kwa watu kuwa Rapper huyo
ameshaanza kuvuta mpunga kwa sasa hivyo kama pesa zinampa mzuka wa
kufanya haya.CHANZO HASSBABYTZ
Post a Comment
Post a Comment