Share this PostPin ThisShare on TumblrShare on Google PlusEmail This
Mtangazaji wa TV na ex wa Diamond Platnumz, Penny Mungilwa aka VJ Penny anasumbuliwa na ugonjwa wa Asthma uliomkaba kwa siku tatu mfululizo.

VJ Penny akiwa na chombo cha kumsaidia kupumua
Penny ameshare picha akiwa na kifaa maalum cha kumsaidia kupumua na kuandika: Asthma plss leave me alone..emojiemoji three days in a row.”

Get well soon Penny.

Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala,

Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi

Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
http://www.facebook.com/kibonajoro

Post a Comment

 
Top