Mwimbaji wa Marekani Kelly Rowland ameonekana kuthibitisha taarifa kuwa ni mja mzito.
Huu utakuwa uja uzito wa kwanza kwa msanii huyu wa zamani wa kundi la Destiny's child.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Kelly amebandika picha ya jozi mbili za viatu, vikubwa na vidogo huku akisema "Nitakuwa wa kuvutia kama baba yangu...."
Kelly na Tim Witherspoon walioana mwezi Mei mwaka huu nchini Costa Rica, na miongoni mwa wageni waalikuwa walikuwa Beyonce na mdogo wake Solange.
BONYEZA HAPA
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment