KINDUMBWENDUMBWE CHALIA!! BRAZIL KUANZA NA CROATIA LEO.NEYMAR TUMAINI LA WA BRAZIL A+ A- Print Email Kocha wa Brazil Luis Felipe Scolari na Neymar wakitaniana kuelekea katika mchezo wao wa ufungzui dhidi ya Croatia. Tafadhali nipeni nafasi ya kujitambulisha kwenu.....Neymar anabeba uzito wa Brazil mabegani kwake Anajiamini sana: Luis Felipe Scolari amesema muda wa Brazil umefika...`Hili ni kombe letu`. Neymar anategemewa sana na Wabrazil Neymar amechukua jezi namba 10 iliyokuwa inavaliwa na Pele na atamzawadia mama yake baada ya mechi ya leo. BONYEZA HAPA Je, Una Habari,Picha,Tangazo,Makala, Hifadhi blog hii kwenye simu yako ili upate habari zote kwa urahisi zaidi Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment