mh zitto kabwe na viongozi wengine wakiwa nanakwenda makaburini kumstili mama mzazi wa mbunge wa kigoma kaskazini mh. zitto kabwe.
mazishi yaliyofanyika leo mchana katika makaburi ya Rubengera mwanga.
Wananchi wakiwa wamebeba jeneza la mwili wa marehemu shida salum mama mzazi wa Zitto kabwe kuelekea kumpumzisha kwenye nyumba yake katika makaburi ya rubegera jilani na ofisi za ccm za mkoa wa kigoma |
Wananchi mbalimbali na wakazi wa mkoa wa kigoma wakienda kumzika marehemu bi shida salum.
Hapa ndipo kaburi la marehemu bi shida salum mama mzazi wa mh Zitto Kabwe alipozikwa. waliovaa kavu nyeusi wakiwa ni watoto wa marehemu ambaye ni mbunge wa kigoma kaskazini Mh.Zitto kabwe |
kaburi la marehemu Bi shida salum.
Wanafamilia wakiwa kwenye kaburi la Marehemu bi shida salum
Facebook Blogger Plugin by Kibonajoro
Post a Comment
Post a Comment